- Cohen went missing between July 19 and 20 2019 after filing a divorce case with his Kenyan wife Wairimu
- His decomposing body was found inside an underground water tank on September 13
- The widow is among suspects arrested in connection to the tycoon's killing
- The autopsy results confirmed he suffered serious multiple injuries on the right side of his head
A postmortem examination conducted on the body of slain Dutch national Tob Cohen has revealed the late tycoon was repeatedly hit with a blunt object on different body parts. Read More...
Madaktari mara nyingi huambia wanawake kwamba kansa ya matiti inahitaji kuchunguzwa kwa lengo la kuthibitisha ikiwa kuna uvimbe kwenye matiti.
Hata hivyo, ni muhimu kwa wanawake kujijuza mambo muhimu kuhusu saratani ya matiti na dalili zake. Madaktari wengi husisitiza kuchunguzwa mapema hili kuwasaidia wanawake kukabiliwa na maradhi hayo. Habari Nyingine: Sababu 17 za kudondoka kwa matiti ya wanawake hata kabla ya kuzeeka Wanawake lazima wajichunguze au waende kuchunguzwa hospitalini. Baadhi ya wataalamu uhoji kuwa maradhi hayo huwa hayana uchungu na yana uwezo wa kuendelea kwa miaka mingi bila kuona dalili zozote. Read More...