Wakazi wa wilaya ya Kitgum nchini Uganda wameanza kuwala nzige ambao wamevamia eneo hilo kwa majuma kadhaa
Imeripotiwa kuwa nzige hao walivamia vijiji vya Gogo na Abudera mnamo Jumanne, Februari 25 na kuwafanya wakazi kuaamua kuwafanya kitoweo.
Habari Nyingine: Mkutano wa BBI watibuka Nyeri, wakaazi wawazomea viongozi
Wakazi wanasemekana kuwachemsha nzige hao kabla ya kuwakaanga.
Kulingana na mkazi mmoja aliyetambulika kama Kutansia Anena uhaba wa chakula umechangia pakubwa wao kuamua kuwala nzige. Read More...
Here's Why Krystle Henderson Hasn't Been on 'Today in AZ'Krystle Henderson hasn't left 12 News — you'll just have to tune in at a different time to see her.
By Sara BelcherPublished Aug. 13 2024, 12:49 p.m. ET
Source: Facebook/Krystle HendersonViewers of Arizona's Today in AZ morning show will notice that the cast looks pretty different. The longtime program has brought on a new face with Troy Hayden starting his role with the station on Aug. Read More...